approximate

vt,vi 1 karibia. 2 leta karibu na (k.m. bei) adj ~ (to) -a kukaribia, karibu sana. approximation n kisio, kadirio. approximately adv takriban, karibu sawa na.