appropriate

appropriate

1 adj -a kufaa. appropriateness n. appropriately adv.

appropriate

2 vt 1 jitwalia, iba. 2 (set apart) tenga; tengea, weka upande (kwa kazi muhimu). appropriation n 1 kutenga wrongful appropriation matumizi songo, kitengo songo appropriation bill muswada wa matumizi ya fedha. 2 fungu (la fedha n.k.). 3 (tendo la) kujitwalia, wizi.