apprentice

n mwanagenzi: mwanafunzi wa ufundi (k.m. useremala, uashi n.k.). apprenticeship n 1 uanagenzi. 2 muda wa kujifunza.