apprehend

vt (leg) 1 kamata (mwizi n.k.), shika, tia mbaroni. 2 (arch) (understand) fahamu, elewa, tambua. 3 (formal) (fear) hofia. apprehensible adj -a kukamatika. apprehensive adj -enye hofu, -enye wasiwasi. apprehension n 1 welewa. 2 hofu, wasiwasi. 3 ukamataji.