adj -a kuonekana, -a kutambulikana; -a kupimika.
appreciablyadv kwa kiasi kikubwa. appreciatevt,vi 1 (understand) fahamu, tambua vyema. 2 (enjoy) furahia, pendezewa na. 3 (estimatehighly) thamini sana. 4 (thank) shukuru he appreciated
his help alimshukuru kwa msaada wake. 5 (ofland, property etc) ongezeka
thamani. appreciationn tathmini write anappreciation of this
poem andika tathmini ya shairi hili. 2 kuthamini. 3 shukrani. 4 ongezeko la thamani. appreciative adj -a kuonyesha shukrani; -a kuelewa; -a kufurahia.