appoint

vt 1 ajiri; teua ~ a minister teua waziri. 2 panga (saa, siku au mahali pa kukutana). 3 (formal) amuru , agiza. appointee n mteule, mteuliwa. appointed adj 1 -liopangwa, -a miadi. 2 -lioteuliwa, -lioajiriwa. 3 (of room) -enye vyombo,- enye samani. appointment n 1 miadi: ahadi ya kuonana. 2 uteuzi, kuteua. 3 cheo cha kazi, wadhifa. 4 samani (fanicha).