appliance

n chombo, kifaa household ~s vifaa vya nyumbani k.m. pasi, jiko la umeme n.k. fire ~ kifaa cha kuzimia moto.