appendix

n 1 kiambatisho. 2 (med) kidole tumbo, kibole. appendicitis n ugonjwa wa kidole tumbo/kibole. appendectomy n upasuaji wa kuondoa kidole tumbo/kibole.