appear

vi 1 tokea, onekana; jitokeza. 2 hudhuria, enda mbele ya (k.m. mahakama). 3 elekea, onekana he ~s to be a hard worker anaelekea kuwa mchapakazi. appearance n 1 kujitokeza, kuhudhuria put in an ~ hudhuria, (agh kwa muda mfupi). 2 sura, wajihi, umbo. 3 (pl) to all ~ kadiri ionekanavyo.