apparent

adj 1 dhahiri, wazi heir ~ mrithi dhahiri. 2 -a kuonekana the ~ cause sababu inayoonekana. apparently adv inavyoonekana.