apparatus

n 1 (seti ya) zana za kazi, vifaa; mashine (yenye kazi maalum). 2 ogani za mwili, sehemu za mwili zinazokamilisha mfumo wa kawaida mwilini the breathing ~ ogani zote zinazohusiana na kupumua.