apotheosis

n. 1 ugeukaji mungu au mtakatifu. 2 uondokanaji na maisha ya kilimwengu. 3 kilele cha heshima au fahari. 4 mfano kamili, mfano bora sana she is the ~ of womanhood yeye ni mfano bora wa wanawake.