apostrophe

n 1 apostrofi: alama ya kifupisho k.m. can't (badala ya cannot) Moh'd (badala ya Mohamed ). 2 alama ya herufi k.m. ng'ombe.