apostle

n 1 (rel) mtume (mmojawapo wa mitume kumi na wawili wa Yesu Kristo). 2 kiongozi (wa imani mpya au tapo la kurekebisha dini fulani). apostles creed n Imani ya Mitume adj 1 -a kitume 2 -a Papa.