apology
n 1 kuomba radhi unconditional ~ kuomba radhi bila masharti. 2 utetezi (wa imani,
vitendo, maisha n.k.). 3 (fig) mfano mbaya ~ for a meal mfano mbaya
wa mlo. apologize vi omba radhi, kiri kosa I beg to apologize
kumradhi, niwie radhi. apologetic adj. apologetically adv. apologist n mtetezi.