apocalypse

n (rel) ufunuo (hasa wa maarifa kutoka kwa Mwenyezi Mungu) the A~ kitabu cha mwisho cha Agano Jipya chenye Ufunuo wa mtakatifu Yohana. apocalyptic adj -a kutabiri hali ya maafa makubwa; -a kiyama.