aperitif

n kiamshahamu: kinywaji cha alkoholi kinywewacho kabla ya kula ili kuamsha hamu ya kula.