ape

n 1 sokwe. 2 mwigaji (wa sauti na matendo ya wengine). 3 (colloq) mjinga, -sio na umbo au adabu nzuri. vt iga. apish adj 1 -a kisokwesokwe. 2 -a kuiga kipumbavu. apishness n.