antithesis

n tabaini, kinyume. antithetical adj. antithetically adv. antitoxin n antitoksini: dawa au kemikali ya kuzuia au kuzimua sumu mwilini. antitoxic adj.