n mkusanya mambo ya kale. antiquarianadj
-a kuhusu wakusanya mambo ya kale. antiquen kitu cha kale/tunu antique
shop duka la vitu na sanaa za kale adj -a kale. antiquatedadj
kuukuu, -siotumika. antiquityn 1 zamani za kale. 2 (pl) mambo ya kale k.v. nyaraka, majengo; magofu n.k.).