antechamber

n chumba cha kungojea. antedate vt 1 weka/toa tarehe ya nyuma (hasa kurudisha nyuma tarehe ya hati n.k.) 2 tangulia, tokea kabla ya.