answer
n 1 jibu, itiko. 2 (maths) jawabu. 3 (leg)
utetezi. vt, vi 1 jibu, itika ~ the door itikia hodi. 2 (satisfy)
ridhisha, tosheleza. 3 (solve) toa jawabu, tambua. 4 (be useful) faa ~
somebody's purpose faa mtu. ~ to a description of somebody/ something fanana
na. 5 (correspond) lingana. 6 ~ for wajibika, kubali lawama no case to ~
hakuna kesi. 8 ~ somebody back jibu, jibiza. answerable adj -a kuweza
kujibiwa; -a kuwajibika, he is ~ able for his son's actions anawajibika kwa matendo ya mwanawe.