annual

adj 1 -a kila mwaka ~ public holiday sikukuu ya kila mwaka. 2 -a mwaka ~ income mapato ya mwaka. 3 (of plants) a mwaka mmoja tu. n toleo maalum la kitabu la kila mwaka; tukio la kila mwaka; mmea wa msimu. annually adv kila mwaka.