annex

vt 1 teka, nyang'anya, pokonya, twaa kwa nguvu (nchi au shamba). 2 unga, ambatisha, jaliza. annexation n 1 kutwaa kwa nguvu, kunyang'anya, kupokonya, utekaji. 2 kuunga, kuambatisha. annexe n 1 jengo dogo (lililounganishwa kutoka jengo jingine). 2 (document) kiambatisho.