annals

n kumbukumbu za kihistoria (mwaka hadi mwaka). annalist n mwandishi wa matukio ya mwaka hadi mwaka.