animate

vt 1 huisha. 2 changamsha, sisimua the debate was ~d majadiliano yalikuwa ya kusisimua adj hai, -enye uhai, -a kuchangamka, -a kusisimua. ~ed cartoon n katuni hai (wa sinema). animation n 1 uhai. 2 bidii, shauku. 3 utengenezaji wa katuni. animism n imani kuwa vitu vyote (miti, mawe upepo n.k.) vina roho.