animal

n 1 mnyama domestic ~ mnyama afugwaye. 2 kiumbe mwenye uhai anayeweza kuhisi na kujongea k.m. mtu, mbwa, samaki n.k. 3 hayawani adj -a kinyama; -enye tamaa nyingi za kimwili. animalism 1 n unyama, uhayawani. 2 imani ya kuwa binadamu ni mnyama tu. animality n unyama.