angry

adj 1 -enye hasira, -enye chuki, -enye hamaki be ~ kasirika. 2 (of a cut, wound) -enye kupwita. 3 (sea, sky, clouds) -a kutisha, iliochafuka. angrily adv kwa hasira/ghadhabu chuki.