angora

n 1 angora: paka, mbuzi au sungura mwenye manyoya marefu. 2 kitambaa kilichotengenezwa kutokana na manyoya ya angora.