anglicize

vt fanya kuwa kama Kiingereza. anglicism n umombo: msemo wa Kiingereza unaotumika katika lugha nyingine. anglo adj -a Kiingereza. Anglophone adj Anglofoni: -enye kutumia Kiingereza.