angle

angle

1 n 1 pembe from all ~s kutoka kila sehemu/pembe. 2 pembenukta: sehemu baina ya mistari miwili ikutanayo corresponding ~ pembe mshabaha right ~ pembe mraba acute ~ pembe kali straight ~ pembe mstari reflex ~ pembe kuu. 3 (fig) mtazamo look at something from all ~s angalia jambo kuzingatia mitazamo yote. vi,vt 1 geuka kipembe, pinda. 2 mili. angular adj -enye pembe au kona kali. 2 (of a person) king'onda, embamba sana na -enye mifupa iliyotokeza. 3 -gumu, -zito kufanya jambo. angularity n hali ya kuwa na pembe.

angle

2 vi vua samaki kwa mshipi. angler n mvuvi wa mshipi. angling adj uvuvi wa mshipi. ~ for something (fig) pembeja: tumia mbinu/hila/ ujanja kupata kitu.