androgen

n (bio) androjeni: jamii ya homoni inayoleta hali ya uume katika kiumbe. androgynous adj 1 (bio) -a huntha, -a kiume na kike.