anchorite

n 1 sufii: mtu aliyejitenga na malimwengu (hasa kwa ajili ya dini). 2 mtu wa pekee. anchoress n sufii (wa kike).