anchor

n nanga ~ rope amari: kamba ya nanga. let go/drop/cast the ~ tia nanga, tosa nanga. vt, vi 1 tia/toa nanga. 2 funga/kaza barabara drop ~ tia nanga. anchorage n 1 maezi/ melezi; mahali pa kutia nanga. 2 (fig) kivuli. jambo ambalo mtu analitegemea kwa hifadhi. 3 ushuru: gharama ya kutia nanga bandarini. ~ man n mratibu wa kazi ya kikundi, mkuu wa kikundi.