anatomy
n 1 anatomia: sayansi inayohusu mwili na viungo
vyake jinsi vilivyo. 2 (slang) mwili. 3 (fig) uchambuzi, uchanganuzi. anatomical adj -a anatomia. anatomist n mwana anatomia, mchangua maiti. anatomize vt 1 tenga sehemu (za mwili n.k.), katakata. 2 (fig) chambua, changanua.