anarchy
n 1 hali ya utawala huria. 2 kutokuwepo na serikali.
3 vurugu. anarchism n utawala huria; nadharia ya kisiasa inayosema kuwa
serikali na sheria havitakiwi. anarchist n 1 mfuata utawala huria. 2
mpinzani wa aina yeyote ya serikali. anarchical adj -enye machafuko ya mambo ya kisiasa, -liojaa fujo.