analyse

vt 1 changanua; chambua. 2 chunguza ~ the cause of failure chunguza sababu za kutofaulu . 3 (gram) tenga sentensi katika sehemu mbali mbali za kisarufi. analysis n uchanganuzi; uchambuzi: utafiti wa asili ya vitu ili kuvumbua sheria zinazotawala nguvu zake mbalimbali. analytical adj. analytically adv. analyst n mchanganuzi; mchambuzi. analytics n taaluma/sayansi ya uchanganuzi.