n analojia: hali au tabia ya kitu kufuata mkondo au sura ya kitu kingine kilichotangulia. analogize
vi linganisha kwa kufananisha. analogicaladj -a mfanano; -a
ulinganifu. analogousadj -a kulingana, -a kufanana, -a kushabihiana. analogousconditionsn hali zinazofanana. analoguen kifanani: kitu kinachofanana na kitu kingine (ingawa si cha asili moja nacho) mshabaha.