anaesthesia
n 1 (med) unusukaputi: hali ya
kutokuwa na hisia; ganzi (za maumivu, baridi). 2 (chem) (general) ~
nusukaputi local ~ ganzi. anasthetic n nusukaputi, ganzi; tawi la
kemia lishughulikalo na dutu zenye kutoa unusukaputi. anaestetist n (med)
mtaalamu wa unusukaputi. anaesthetize vt. (med) tia nusukaputi, tia ganzi.