anachronism

n 1 jambo lililopitwa na wakati. 2 kosa la kikronolojia (k.m. Mkwawa alitazama saa yake wakati asingeweza kuwa na saa). anachronistic adj -a kizamani; -a kukosewa tarehe.