ample

adj 1 kubwa; -enye nafasi. 2 -ingi, tele. 3 -a kutosha, maridhawa a thousand shillings will be ~ for my needs shilingi elfu moja zatosha kabisa kwa haja zangu. amply adv -vya kutosha na zaidi. ampleness n.