amphitheatre

n 1 uwanja duara (wenye safu za viti kwa watazamaji). 2 safu za viti vilivyopangwa nusu -duara (kwenye jumba la maonyesho) natural ~ uwanda uliozungukwa na vilima.