n (zoo) amfibia: ngeli ya wanyama wanaoweza kuishi
nchi kavu na majini pia. amphibiann 1 (zoo) amfibia: mnyama anayeishi nchi
kavu na majini. 2 (aircraft) ndege inayoweza kutua nchi kavu na majini. 3 (mech)
gari linaloweza kutembea nchi kavu na majini. amphibiousadj -a kiamfibia. amphibiologyn amfibiolojia: taaluma ya elimuwanyama inayoshughulikia amfibia.