vi fikia, pata, -wa sawa (na) his debt~s to 100,000shs. deni lake linafikia
shilingi laki moja it ~s to the same thing ni sawa tu. n 1 idadi, jumla,
yote pamoja the ~ of books idadi ya vitabu. 2 (quantity) kiasi, kadiri he paid only a small ~ of money alilipa kiasi kidogo tu cha fedha.