amoeba

n (biol) amiba: jamii ya vijidudu vidogo sana visivyoonekana kwa macho, ambavyo huishi katika maji na udongo. amoebic dysentry n kuhara damu kunakosababishwa na vijidudu hivyo.