ammonia

n (chem) amonia: gesi yenye harufu kali ya kuchoma (mtu akiinusa huumia puani). ammoniated adj (chem) -enye amonia, -enye kuchanganyikana na amonia.