amenable

adj (to) 1 (of people) -sikivu, -epesi kuongozwa, tiifu. 2 (of cases, situations) -a kufuata kawaida this case is ~ to ordinary rules shauri hilo lafuata kanuni za kawaida ~ to jurisdiction -a kuwajibika. amenability n (leg) dhima.