ambivalent

adj kinzani, -enye hisia/maana za kugongana k.m. "kupenda na kuchukia sawia." ambivalence n hisia kinzani.