amateur

n 1 ridhaa: hali ya kujishughulisha na sanaa, michezo au utendaji wowote kwa kupenda bila kutegemea malipo. 2 mwanaridhaa adj -a ridhaa; -siostadi. amateurish adj sio kamili; -sio stadi. amateurishness n uanagenzi.