amalgam

n 1 mchanganyiko. 2 aloi ya zebaki. 3 (dental) aloi risasi. amalgamate vt, vi (of classes, societies, races people, business companies) changanya, unganisha, ungana. amalgamation n muungano, muunganisho, mchanganyiko, mchanganyo.